samedi 1 février 2014

SAT B :"Sio lazima unipe kolabo ili nipate Show kwenye ardhi ya MANDELA..."

Msanii wa kizazi kipya ambaye nyota yake imenga'ara baada yakuachia album yake *Inkuru y'ukuri* na AMIR MUGISHA a.k.a AMIR Pro kwasasa matawi ya juu . Msanii huyo mwenye kusaka na udi na uvumba njia mbadala yakufunika wengine na kueneza vigezo vyakuitwa nakupiga Tamasha babu kubwa siyo siri tena anataka kuanza mizungu'uko huku na kule kwenye tamasha mbali mbali zakimataifa . Hii ni bango aliyo i post ABDUL KESHY (Filmaker) mrundi ane ishi kwenye ardhi ya Mandela . Bango hiyo inaonyesha bonge la Tamasha atakalo endesha BIZIMANA ABOUBAKAR KARUME a.k.a SAT B kwenye ardhi ya Mandela . Tulipo mu uliza SAT B kupitia mtandao wake wa whatsup alitujibu :" Mzee sio lazima nipewe kolabo ili nipate Show za nje baada , kweli ni really na nitaondoka mwishoni mwa mwezi huu..." Fahamu ya kuwa , msafara atakao ufanya umekuja baada yakujijengea mazingira mazuri kwenye mizungu'uko aliyo ifanya na Kampuni ya Brarudi kupitia kinyanganyiro cha PRIMUSIC 2013 na nyimbo alizoziachia mwaka huyo huyo kwa ushirikiano tosha na Best Producer Kampala Uganda anaetambulika kwa jina la WASHINGTON akiwa chini ya Lebel ya bukiv lab inayosimamiwa na Dj Jackson kutoka nchini Sweeden , yasemekana kuwa ahitaji kusitisha mkataba na lebel hiyo .
Sat b na mkewe Nelly wakila pozi ,tizama vizuru tumbo la mkewe...
Sat b ataraji mtoto hivi karibuni kwani mkee wake atajifunguwa . BB yamtakia kila la kheri...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire