mercredi 18 septembre 2013

CHAN 2014 :Burundi itafahamu ni nchi gani itakazopambana nazo leo...

Intamba Murugaba baada yakuishind Sudan kupitia mikwaju...
Burundi leo ndio itatambuwa ni timu zipi itakazo pambana nazo kwenye duru ya makundi kwa upande wa michuano ya CHAN , wachezaji wanaocheza soka kwao . Burundi pamoja na Burkina Faso, Congo-Brazzaville, Ethiopie, Maroc, Mauritanie, Mozambique , Nigeria ndio mara ya kwanza kudiriki kombe hilo . Ifahamike ya kuwa jumla ya nchi 16 ndizo zitakazo chuana nazo ikiwa pamoja na kati ya tarehe 11/1/2013 hadi tarehe 1/2/2013 :

- Afrique du Sud ( Wenyeji ), Burkina Faso, Burundi, Congo-Brazzaville, Ethiopie, Gabon, Ghana, Libye, Mali, Maroc, Mauritanie, Mozambique, Nigeria, Ouganda, RD Congo, Zimbabwe.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire