lundi 1 juillet 2013

CECAFA KAGAME CUP 2013 : Vital'o Fc bingwa... (Vital'o Fc 2-0 APR)...

Timu ya Burundi Vital'o Fc leo hii nchini SUDAN yakusini imejinyakulia kombe kwa mara yake ya kwanza,nakuchukuwa kitita cha milioni 50 sarafu za wamarekani,imeandikwa tayari kwenye historia ya mpira ,tarehe & July siku yakumbukumbu ya uhuru wa Burundi , Vital'o Fc imeifunga kwenye fainal APR ya Rwanda kwa bao 2 kwa 0,bao la kwanza lilifungwa na Tambwe Amisi (Fungaji bora na bao 6) ,la pili likawekwa kimyani na Christian MBIRIZI ambae aliteuliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano hayo . Mchezaji . Timu ya Rayon sports ya Rwanda ilishindwa kutamba mbele ya Al Merreikh el Fasher na mchuano kumalizika huku wakifungwa bao 1 kwa 0. Hongera sana Vital'o Fc
....

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire