dimanche 6 janvier 2013

Big farious:"Nimependa kuwatambulisha mdogo wangu,na mtoto wangu wa kwanza."

AHISHAKIYE Jean PIERRE (mdogo wake),MUGANI Tresor (Mtoto wake wa kwanza.)
Msanii MUGANI Desire a.k.a Burundiano tulihojiana nae kuhusikana na maisha yake kiundani na tukaitaji kuitambuwa familia yake na akawa ametwambia :"Mimi ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto watatu. Mama bado ninae na anajishughulisha na kazi zake zakibinafsi,wakati walipo nizaa mama alichukuwa miaka mingi kusudi amzae mtoto wa pili,jambo lililo kuwa linanipa kero sana bila kujali kuwa Mungu ndie mpaji wawatoto. Baada yakuona mama amekawia kuzaa ndio nikaanza mambo yakupendana na ndio kupata mtoto wangu wa kwanza ilikuwa mwaka 1998,kwasasa anamiaka 13,baada yakupata mtoto wangu wa kwanza mama nayeye alipita anapata mtoto wakiume anae itwa Jean pierre AHISHAKIYE wakiwa sawa miaka na mtoto wangu MUGANI Tresor,hadi sasa mama hana tena uzazi ila baada ya JP alifatisha dada yetu ambae anaitwa AHISHAKIYE Audiane. Kwenye familia yangu tuko mtu tatu."

*AH: Tulipenda kujuwa Farious,kwanini ulikuwa unata mama yako azae ungine mtoto?
*Fizzo: Nilikuwa nabitaka sana kwasababu nilikuwa nimeshapata wakati mwingi wakudeka,kingine ni kuwa nilikuwa naona wenzangu (entourage) kama wote wako na wadogo zao,nakosa hata wakuniomba nikampiganie sasa ilikuwa inaniuma ile mbaya. Nawapenda ndugu zangu,na mtoto wangu pia bila kumtenga ule wa mitoni,nimesha mu miss sana. Habari ndio hio...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire