mercredi 13 mars 2013

Nyimbo mpia ya MKOMBOZ 'Umubanyi siwe muryango'( Jirani si ndugu) itakuwa tayari mwezi wa April.

NZEYIMANA THOMAS a.k.a MKOMBOZ amezaliwa  Mkoani wa Makamba alijulikana sana kupitia nyimbo zake zinazo ashiria uzalendo,upendo na amani nchini ,alijulikana  muda mfupi baada yakuingia kwenye fani hio ya muziki nakujijengea sifa kemu kemu hadi kujaliwa kujaza ukumbi kwakuzinduwa nyimbo moja , Kitu ambacho sio rahisi kukifanya Burundi nakutegemea mafaanikio. Mkomboz kama ilivyokuwa kawaida yake yakutowa nyimbo kwakutafakari ameizungumzia safu yetu hii kuwa ameanza tayari kujipanga na kwa muda huu yuko anarekebisha rekebisha pini yake mpia itakayokuja na jina 'UMUBANYI SIWE MURYANGO' . Tulihitaji kutaka kuingia kiundani zaidi atwambie nini anachokusudia kutoa kama ujumbe akawa ametwambia kuwa :" Wezi wa mistari wameshakuwa wengi kaka , acha nimpe na fasi  shabiki wangu wakuwa ni kiu chakujiwaza nini ntakacho imba , bila shaka natambuwa kuwa unajuwa Burundi imesimama vipi kwasasa kisiasa,ki utamaduni,kimazingira,ki uchumi... apo sasa nafkiri utajipa jibu nakujuwa kipi ntakacho ki imba . Mkao wa kula,sio siri ni bonge la pini zaidi hata ya 'DUSENGE, ISHURE,ZAWADI YA MWAKA...' . Hayo ndio alitwambia...Ila tulimkazania atuchanie ata mstari umoja akawa ametupa...."Wiyumva gute inzu y'umubanyi wawe iriko irasha,aho kumufasha ngo muyituze gusha,ugacha usukamwo igitoro ngo ibandanye isha...Aho ndibaza ko muca mubona yuko ababanyi bamwe bamwe sibo baryango? (Alimaanisha kwenye mstari huo kuwa 'kuna majirani ambao wanaroho mbaya,nyumba yako inaweza kushikwa na moto,pali yakukusaidia ku uzima yeye anapita anaongeza mafuta ili izidi ku unguwa... Unapokea aje hali hii , kweli 'Jirani si ndugu'...)

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire