mercredi 13 mars 2013

Nairobi : -NSHIMIYIMANA Voisin atangaza kuja kumtambulisha mchumba wake kwa familia yake Jijini Bujumbura...

 Msanii NSHIMIYIMANA Voisin ambae atambulika sana nchini Burundi kwenye collabo alizozifanya na Wanao unda kundi la "PANTALON" (Silas Damara na MC Original ) na hao wakijulikana kupitia nyimbo kama 'ukuri','Mugisagara'... Aliongea na safu yetu hii nakuweza kutubainishia kuwa hivi karibuni atakuteremka Burundi kuja kumtambulisha familia mchumba wake kutokea Kenya. Alitwambia :"Nakuja soon na my fiancee Virginia Wangare from kenya for the mariage with 3 new track kutoka kwa R Kay . Ngoma ni Museke weya,twende party..." Ifahamike ya kuwa Msanii huo anazoweleka kimziki kupitia nyimbo 'Baby girl,africa,beautyfull,na vision kali feat  R flow',nyimbo yake akiwa pekee yake inajulikana kwa jina la '
 Nibeza ' ikiondoka na mitindo ya Raggaton ."


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire