mardi 19 février 2013

Lydia NSEKERA :" Uchaguzi utafanyika tarehe 5 May 2013".


"Uchaguzi wa kiongozi mpia wakuongoza muhula wa miaka 4 ijayo kwa upande wa shirikisho la dimba nchini Burundi utafanyika tarehe 5/May/2013 ". hio ndio kauli alio itowa leo Mwanamama Lydia NSEKERA anae ongoza Shirikisho la mpira nchini Burundi kwenye mkutano alio uendesha na waandishi habari kwenye makao makuu ya shirikisho hilo. Ifahamike ya kwamba ilikuwa imependekezwa uchaguzi huo ufanyika kabla ya tarehe 22/February mwaka huu,ila Mwamama Lydia NSEKERA alionyesha wazi kuwa hakuna sheria yeyote toka CAF ao FIFA inayosema kuwa uchaguzi lazima ufanyike siku ile uliopewa madaraka. Kwa upande mungine tuwafahamishe kuwa kwenye mkutano huo maneno yasiopendeza yalizungumzwa hasa hasa ya ukabila , na vile vile vyama tofauti tofauti maneno yalioshamgaza wengi hasa hasa watangazaji na walio hudhuria kwenye kikao hicho muhimu sana kwa maendeleo ya mpira nchini Burundi . Fahamu vile vile yakuwa majina yanayozidi kutajwa kugombea na fasi hio ni pamoja na HUSSEIN MUSBA( Inter fc) na NDIKURIYO REVERIEN ane ongoza timu ya AIGLES NOIRS ya MAKAMBA.

1 commentaire:

  1. Uchaguzi ufanyike fasta fasta. Sisi wapenda mupila hakuona chochote Mama sekera amesaidia mpila wa burundi. Yani niwatu tu wamajitupa wakaanda ma teem yabo. Arikuwa tu anasaidia teem yake ya Ngagara hakuna kingine. Isingekuwa Raisi wetu ili achangamukishe watu kwenye michezo football ingekuwa tayakuzama. Atoke tena asijitie mu liste. Acha Mama Hussen na Colonel,Gouverneur,Honorable,Senateur Réverien Ndikuriyo wagiombaniye uyo uchaguzi. Wote wanaweza kufanya kiyu muhimu kizi Mama Flamingo.

    RépondreSupprimer