mardi 26 février 2013

Belgium: -ANDY COOL :" Nyimbo yangu mpia 'YACUHOHA' kuhusu ku unguwa kwa soko kuu iko jikoni..."Msanii Mrundi anae ishi nchi Ubelgigi ANDY COOL amejiunga na raia toka pande zote ulimwenguni kwaku utowa nayeye mchango wake ambao sio wa pesa bali wa ujumbe wa pole kutokana na janga lililo kabili soko kuu ya Bujumbura kwa kuimba nyimbo yenye ujumbe tosha wenye kutowa pole na salamu za rambi rambi kwa waliopoteza mali zao wakati soko kuu ya Bujumbura ilipovamiwa na moto . Alifahamisha safu yetu hii kuwa :"Niko natumika track mpia ya kuhusu soko ya buja itaitwa ' YACUHOHA ' iko anaitumikia kwa Goldman akiwa ni Producer anae aminika pale Ubelgigi kwakazi yakurekebisha nakuweka sawa nyimbo. 'Yacuhoha' alimaanisha kujikaza kwa yule wowote aliepoteza , neno ilo la kirundi huwa linatumiwa kwa watoto ambao wanajifunza bado kusema,na ndio aka amuwa kuipa maana hio." Aliongeza nakusema :" Album yangu itatoka majira ya jua,nafkiri ntawajulisha Washabiki wangu linikwani bado napanga tarehe yakuzindua album yenyewe."
Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire