lundi 7 janvier 2013

South africa: -ABDUL KESHY :" Burundi tunaweza pande zote..."


Pichani: Abdul Keshy akiwa anarekebisha mambo...


 NAHIGOMBEYE ABDOUL KASHINDI A.K.A KESHY mzaliwa wa Burundi,Buyenzi barabara ya 10 namba 1 kwasasa akiwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Keshy Video Lab(Ltd) ,vile vile Director/Editor wa Video Production kwenye kampuni hio inao wakusanya wafanyakazi wengi,wanawake na wanaume anaendelea vizuri pande zile za kusini mwa Africa.Kijana huo bado mdogo ila  anafanya kazi kubwa naku anatowa msaada wa hali ya juu kwa kombaini ya warundi wano ishi South africa.
 Abdul KESHY":Hakuna sungu sungu wala kaporo,kazi kwenda mbele"

Alishatumika na Wasanii  kama TIGO STONE BABA WA HURUMA, SUGU JAY TISHIO, T MAX MWANAJESHI KAMILI ,MIKE MAHLONE, G A GUCCI MAN, MIKE B G.O.N, BABY BOY LIL RHEE ... Blog yenu  ilihojiana nae na akaweza kutwambia kuwa:" Najianda vyakutosha kumrudisha Msanii Sugu jay Tishio awe mgeni rasmi kwenye Tamasha inayo andaliwa siku ya valentine (Valentin day ),tarehe 14/July/2013. 

Kupitia kampuni yangu atapata ofa ya kuifanya nyimbo 1 itatokaga na video yake. Kwa kweli burundi tunaweza pande zote,kinacho hitajika niku ungana mkoni sisi kwa sisi. " Alimalizia nakusema :"Baada ya Tamasha hio ntapita natimba nae Jijini Bujumbura,nije kukaguwa na kujuwa kipi naweza kusaidia ili tasnia ya mziki na filamu iweze kuwa juu zaidi."

Kwa maelezo zaidi soma apo chini kwenye hio picha:
     

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire