Msanii Mrundi anae ishi nchi Ubelgigi ANDY COOL amejiunga na raia toka pande zote ulimwenguni kwaku utowa nayeye mchango wake ambao sio wa pesa bali wa ujumbe wa pole kutokana na janga lililo kabili soko kuu ya Bujumbura kwa kuimba nyimbo yenye ujumbe tosha wenye kutowa pole na salamu za rambi rambi kwa waliopoteza mali zao wakati soko kuu ya Bujumbura ilipovamiwa na moto . Alifahamisha safu yetu hii kuwa :"Niko natumika track mpia ya kuhusu soko ya buja itaitwa ' YACUHOHA ' iko anaitumikia kwa Goldman akiwa ni Producer anae aminika pale Ubelgigi kwakazi yakurekebisha nakuweka sawa nyimbo. 'Yacuhoha' alimaanisha kujikaza kwa yule wowote aliepoteza , neno ilo la kirundi huwa linatumiwa kwa watoto ambao wanajifunza bado kusema,na ndio aka amuwa kuipa maana hio." Aliongeza nakusema :" Album yangu itatoka majira ya jua,nafkiri ntawajulisha Washabiki wangu linikwani bado napanga tarehe yakuzindua album yenyewe."
mardi 26 février 2013
Belgium: -ANDY COOL :" Nyimbo yangu mpia 'YACUHOHA' kuhusu ku unguwa kwa soko kuu iko jikoni..."
Msanii Mrundi anae ishi nchi Ubelgigi ANDY COOL amejiunga na raia toka pande zote ulimwenguni kwaku utowa nayeye mchango wake ambao sio wa pesa bali wa ujumbe wa pole kutokana na janga lililo kabili soko kuu ya Bujumbura kwa kuimba nyimbo yenye ujumbe tosha wenye kutowa pole na salamu za rambi rambi kwa waliopoteza mali zao wakati soko kuu ya Bujumbura ilipovamiwa na moto . Alifahamisha safu yetu hii kuwa :"Niko natumika track mpia ya kuhusu soko ya buja itaitwa ' YACUHOHA ' iko anaitumikia kwa Goldman akiwa ni Producer anae aminika pale Ubelgigi kwakazi yakurekebisha nakuweka sawa nyimbo. 'Yacuhoha' alimaanisha kujikaza kwa yule wowote aliepoteza , neno ilo la kirundi huwa linatumiwa kwa watoto ambao wanajifunza bado kusema,na ndio aka amuwa kuipa maana hio." Aliongeza nakusema :" Album yangu itatoka majira ya jua,nafkiri ntawajulisha Washabiki wangu linikwani bado napanga tarehe yakuzindua album yenyewe."
Docter Jay :" One city one Family bado tupo ."
Msanii wa mitindo yakufoka foka anaezoeleka sana nchini Burundi kama Docter Jay,ambae jina lake lilitambulika sana kwa mtindo wake wakuimba kwakufoka (hip hop) uku akiacha mashabiki kwenye mchaka mchaka na ujumbe tofauti tofauti anao utowa kupitia nyimbo zake binafsi na kwa ushirikiano na kundi lake ambalo wengi wanahisi kuwa limeshasambaratika,nalo silingine likiwa ni 'ONE CITY ONE FAMILY' , aliongea na safu yetu hii nakuweza kubainisha kuwa : " Watu wengi walieikiri 'one city,one family' kuwa imesha sambuka la hasha! Kuna mizunguko zunguko tulikuwa tunafanya kimaisha , kikazikazi tofauti na zaidi sana kazi ya mziki kuna wamoja wame endelea Marekani kama Balozi nawengine kusambaratika Mitoni kama Divin , Zep kay , Mr ganja bila kumtenga Big Dugala na apa Burundi nikiwa nimesalia mimi Dr Jay , Neij na Soso ambae yeye kwa mara nyingi anajishughulisha na karaok siku za nyuma. Kwa ushirikiano nao tumesha jaliwa kurikodi nyimbo tofauti tofauti kama 'mziki na wana mziki' ''Birahagije' 'Turura' 'Nataka money' . Kwa mdaa huu tuko jikoni kwenye Golden star records tunarekebisha pini 'INOTI RMX' kwa ushirikiano na Mshindi wa primusic 2012 NIYINZI Rally-Joe , itakapo malizika itabidi tuchukuwe picha (clip video) za nyimbo hio ili tujitangaze zaidi , na mzizi wa fitna kwa mashabiki ukatwe kwani maneno mitaani ni mengi.
Inscription à :
Articles (Atom)