lundi 23 septembre 2013

Picha ya wiki....

733788_10151722765879542_2081834390_n
Jérôme na Kevin BOATENG.
Hii ni picha BB iliochaguwa kuwa niya wiki hii tuliyomaliza , ilikuwa ni kwenye mchuano wa wiki ya 6 nchini Ujeremani ; Shalke 04 ikiadhibiwa vibaya na bayern ya Munich bao 4 kwa 0 . Mdogo ambae ni jerome boateng alimfunga mkubwa Kevin prince Boateng ,yanatokeya sana hayo...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire