lundi 6 janvier 2014

Bongo Movie wapata viongozi wapya. Steve Nyerere achaguliwa kuwa mwenyekiti


Kundi la Bongo movie unity limepata uongozi mpya wa club hapa nchini hapo jana baada ya kufanyika kwa uchaguzi wake kwenye viwanja vya leaders kinondoni jijini Dar es Salaam.

Katika uchaguzi huo viongozi wapya walichaguliwa ni :

Mwenyekiti. Steven Nyerere.
Makamu mwenyekiti : Mahsein awadhi "Dr cheni"
Katibu mkuu: William Mtitu

Katibu mkuu msaidizi : Devotha mbaga
Mtunza hazina: Issa musa “cloud"
Msaidizi wake ni: Cathy rupia

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire