vendredi 22 mars 2013

Dar Es Salaam : Nani Mfalme wa TEMEKE kati ya TMK HALISI Vs TMK FAMILY ?

Wasanii wa miondoko ya bongo flava waliokuwa zamani wakiunda kundi moja la Wanaume family , kisha baadae wakawa wamegawanyika ifikapo siku ya Pasaka kwa waumini wa dini ya Kikristo watakuwa kwenye pambano la mwaka lakuitaji kufahamu nani Mfalme wa TEMEKE . Habari tulizozipata toka pande zile ni kuwa maandalizi ni yote toka pande zote mbili . Maelezo zaidi kuhusikana na tamasha hio , soma bango hio apo juu...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire